Vijana wamehimizwa kuwa makini wakati huu wa likizo ndefu ili kuepuka kukumbana na changamoto za maisha kama vile mimba za Utotoni . Akizungumza wakati wa mafunzo kuhusu afya ya uzazi katika Kanisa la Kenya Assemblies of God mjini Maralal, mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali la Compassion, Thomas Lekililo, , pia alisisitiza jukumu muhimu la wazazi katika kuwapa mwongozo na kuwasaidia vijana kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yao ya uzazi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive