Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Marsabit watembea mwendo mrefu kutafuta maji

  • | KBC Video
    68 views
    Duration: 4:16
    Wanawake na watoto kote katika kaunti za Marsabit, Isiolo, na Samburu bado wanalazimika kutembea kilomita nyingi wakitafuta maji. Visima vilivyobaki havina maji ya kutosha na vimejaa watu, kimoja kinahudumia mamia ya watu na mifugo yao. Wakati mwingine, mawingu hukusanyika upeo wa macho yakiongeza matumaini ya mvua lakini hutoweka haraka. Usiku wa leo, katika makala maalum ya shajara ya ukame, mwanahabari wetu Ben Chumba anatupeleka katikati ya kaskazini mwa Kenya, ambapo uhai kuna uhaba wa maji lakini ustahimilivu wao na matumaini ya siku njema unwapa nguvu ya kuishi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive