Mji wa Qufu, ambao ni nyumbani kwa Confucius ulioko mkoa wa Shandong mashariki mwa China, uliandaa sherehe kwa njia ya mtandaoni na ana kwa ana Jumapili kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 2,576 tangu kuzaliwa kwa mwanafalsafa huyo wa kale. Sherehe hiyo, iliyochanganya heshima za kale na za kisasa, iliwavutia washiriki kutoka China na mataifa mengine kutoa heshima kwa mtu aliyepewa jina “mwalimu wa nyakati zote".Taswira Kamili ni katika Makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive