Skip to main content
Skip to main content

Kakamega: Wagonjwa washindwa kutibiwa na SHA

  • | NTV Video
    177 views
    Duration: 3:49
    Wagonjwa wanaotafuta matibabu ya magonjwa sugu katika hospitali ya rufaa mji ni kakamega na hospitali zingine wanaendelea kuhangaishwa wakitakiwa kulipia pesa za kununua vifaa maalumu kama vile chuma huku wengine walio na wagonjwa wanaohitaji kufanyiwa upasuaji wakitakiwa kulipa pesa licha ya kulipia matibabu ya bima ya SHA. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya