Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM watofautiana kuhusu ushirikiano na serikali ya Ruto kabla ya uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    4,818 views
    Duration: 3:15
    Viongozi wa chama cha ODM walitofautiana kuhusu ushirikiano wa chama hicho na serikali ya rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027. Baadhi ya viongozi akiwemo waziri wa madini Hassan Joho waliunga mkono ushirikiano wa chama hicho na serikali huku katibu mkuu Edwin Sifuna na Gavana wa Siaya James Orengo wakiongoza safu ya walioonekana kuunga mkono chama hicho kisalie upinzani