- 2,418 viewsDuration: 2:58Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwasamehe vijana waliokamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya uhaini kufuatia machafuko ya baada ya uchaguzi. Suluhu akielekeza mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini humo kuangalia tena mashtaka ya zaidi ya vijana 300 na kuwafutia makosa hayo. Akinukuu bibilia, Suluhu amesema vijana hao hawakujua walichokuwa wakifanya