Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Saru waikosoa IEBC kwa kutofanya usajili wa wapiga kura wapya kwa miaka mitano

  • | Citizen TV
    166 views
    Duration: 2:40
    Wakazi wa Saru kaunti ya Marsabit wameilaumu tume ya uchaguzi iebc kwa kushindwa kufanya usajili wa wapiga kura wapya katika eneo hilo kwa takriban miaka mitano sasa. Wanasema huenda maelfu ya vijana ambao wamepata vitambulisho wakakosa fursa ya kushiriki uchaguzi wa 2027. Afisi ya karibu ya IEBC eneo hilo iko mjini Marsabit, takriban kilomita mia nane kutoka Saru