14 Nov 2025 7:19 pm | Citizen TV 1,263 views Duration: 45s Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC wamemkamata mwenyekiti wa bodi ya halmashauri ya kudhibiti bidhaa gushi nchini Josphat Gichunge Kabeabea kwa madai ya kuhusika na visa kadhaa vya ufisadi