- 226 viewsDuration: 1:09Waalikishi wa Kenya kwenye mchuano wa kufuzu kwa klabu bingwa barani katika mchezo wa vikapu KPA, walipokea kichapo cha 71-61 kwenye mechi ya mwisho ya kundi "A". Hata hivyo KPA ilifuzu kwa nusu fainali inayoendelea kwa sasa.