14 Nov 2025 7:27 pm | Citizen TV 307 views Duration: 1:20 Kampuni ya WEEGO, safaricom, mamlaka ya usalama barabarani ntsa na chama cha waendeshaji bodaboda hii leo waliungana na wadau wengine kujadili njia za kutekeleza mfumo wa usafiri wa pikipiki na tuktuk nchini Kenya