Rais William Ruto amewataka Wakenya kutoa ripoti mara moja kuhusu hospitali ambazo bado zinadai malipo licha ya wagonjwa kuwa wamesajiliwa kwenye halmashauri ya afya ya jamii SHA. Akizungumza katika eneo bunge la Kagundo, kaunti ya Machakos, rais alisema serikali imepokea taarifa kutoka kote nchini kwamba hospitali za umma zinawaagiza wagonjwa kugharamia matibabu, hatua ambayo inahujumu ajenda ya serikali ya kutoa huduma nafuu za afya. Abdiaziz Hashim na kina cha taarifa hii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive