Skip to main content
Skip to main content

Migawanyiko imedhihiri kwenye cha ODM huku kikiadhimisha miaka 20

  • | KBC Video
    463 views
    Duration: 3:36
    Mizozo ya ndani kwa ndani ilizuka mwanzoni mwa sherehe za maadhimisho ya miaka 20 ya chama cha ODM mjini Mombasa. Kundi la viongozi wa chama hicho liliwashutumu baadhi ya wanachama kwa kujaribu kukinadi chama hicho. Chama hicho pia kinatumia fursa ya sherehe hizo kumuenzi mwanzilishi wake, Raila Odinga, aliyefariki mwezi uliopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive