Skip to main content
Skip to main content

Mkurugenzi Mhariri wa Royal Media Services Linus Kaikai aapishwa kuwa mawakili wa Mahakama kuu

  • | Citizen TV
    9,998 views
    Duration: 39s
    Mkurugenzi wa Uhariri wa kampuni ya Royal Media Services (RMS), Linus Kaikai, ni miongoni mwa mawakili 920 ambao wameapishwa kuwa mawakili wa Mahakama Kuu ya Kenya na Jaji Mkuu Martha Koome.