- 25,623 viewsDuration: 2:47Maelfu ya Wakenya wakiwemo wanasiasa na viongozi wa serikali walikusanyika katika uwanja wa Ndumberi, Kaunti ya Kiambu katika hafla ya kumuaga mwimbaji wa nyimbo za Ijili Beatrice Wairimu Mbugua maarufu Betty Bayo ambaye alifariki kutokana na ugonjwa wa saratani ya damu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta siku 11 zilizopita.