Skip to main content
Skip to main content

Ruto Miaka Mitatu: Mradi wa nyumba wazalisha ajira

  • | Citizen TV
    943 views
    Duration: 3:18
    Mradi wa ujenzi wa nyumba za serikali ni mojawapo ya mipango ambayo rais william ruto ameshikilia kwa karibu. Kwa maneno yake mradi huu hautatui tu tatizo la uhaba wa nyumba mijini bali pia utatoa nafasi za ajira kwa vijana. Miaka mitatu baadaye, mradi huu umetimiza ndoto ya rais? Na je, ni kweli wakenya wanapata ajira na sekta za ujenzi kuimarika?