- 903 viewsDuration: 2:52Serikali imesema kuwa iko mbioni kutimiza ahadi ya nyumba milioni moja kufikia mwaka wa 2027 kupitia mpango wa nyumba za bei nafuu. Mradi huo ulioanza mwaka jana unalenga ujenzi w anyumba laki mbili kila mwaka. Na kama anavyoarifu brenda wanga, taifa linahitaji nyumba laki mbili unusu kwa mwaka.