10 Sep 2025 10:09 am | Citizen TV 377 views Duration: 1:16 Katika juhudi za kuimarisha huduma za magereza nchini, kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uangalizi na utekelezaji wa katiba ilizuru magereza ya Malindi na Kilifi kutathmini hali .