- 366 viewsDuration: 2:59Ni miezi minne sasa tangu wakazi wa Mukuru kwa Njenga, Riara na Marigoini kuingia katika nyumba za serikali za new Mukuru. Wakazi hao wanaendelea kutabasamu na kufurahia maisha mapya. Huku nyumba zaidi zikiendelea kujengwa wakazi ambao walijaza stakabadhi za nyumba hizo wanaendelea kusubiri zikamilike ili wao pia wanufaike.