- 79 viewsDuration: 1:23Viongozi wa chama cha walimu humu nchini, KNUT, katika kaunti ya Nakuru wameapa kupinga pendekezo la wizara ya afya la kuhamisha huduma za bima za walimu kutoka kampuni ya MINET hadi ile ya kitaifa ya afya ya jamii, SHA. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive