Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa eneo la forodha Suam

  • | Citizen TV
    841 views
    Duration: 2:09
    Serikali hatimaye imemlipa mwanakandarasi anayejenga kituo cha forodha cha Suam, Kaunti ya Trans Nzoia, ili kupunguza msongamano wa magari kwenye mpaka wa Kenya na Uganda. Kukamilishwa kwa barabara kuu ya Kitale kuelekea Uganda kunalenga kuimarisha uchukuzi baina ya nchi hizi mbili.