- 1,177 viewsDuration: 1:00Kocha wa timu ya taifa ya kenya harambee stars Benni Mc Carthy amesema baada ya kuwa hawana nafasi ya kufuzu kombe la dunia 2026, watajaribu kufanya kila wawezalo kuiweka timu pamoja ikiwemo mechi za kirafiki. Aliyasema hayo baada ya kuinyeshea ushelisheli mvua ya mabao matano kwa nunge siku ya jumanne uwanjani kasarani.