Skip to main content
Skip to main content

Familia ya wakili Mbobu yataka haki baada ya mauaji

  • | Citizen TV
    5,438 views
    Duration: 2:12
    Familia ya marehemu Mathew Kyalo Mbobu imekumbwa na mshtuko kufuatia mauaji ya wakili huyo aliyepigwa risasi na kuuwawa kwenye barabara ya langata kuelekea magadi siku ya jumanne . Familia hiyo sasa inataka uchunguzi kufanywa kwa haraka na haki itendeke kwa mwana wao ambaye wamemtaja kama wakili shupavu kama