Skip to main content
Skip to main content

Miaka Mitatu ya Ruto: Faida na mzigo wa afya ya jamii

  • | Citizen TV
    947 views
    Duration: 2:51
    Mojawapo ya Ahadi kuu ya Rais William Ruto alipoingia mamlakani ilikuwa bima ya afya kwa kila Mkenya. Miaka mitatu baadaye, Mamlaka ya Afya ya Jamii SHA ndiyo inayoendesha ndoto hii, hata hivyo mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake, baadhi ya Wakenya wanasema imeleta afueni lakini kwa wengine ada za lazima bado ni mzigo.