Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanaendeleza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbubo

  • | Citizen TV
    7,389 views
    Duration: 5:20
    Maafisa wa polisi wanaendelea na uchunguzi kuhusu mauaji ya wakili mathew kyalo mbubo aliyepigwa risasi katika barabara ya langata -magadi jijini nairobi siku ya jumanne..polisi wamepata baadhi ya picha za cctv zinazotumika katika uchunguzi wa mauaji hayo. Walioshuhudia kisa hicho wameelezea jinsi washukiwa walikuwa na muda wa kutekeleza mauaji hayo bila ya wasiwasi wowote..