11 Sep 2025 10:34 am | Citizen TV 400 views Duration: 1:28 Mafisa wa polisi wa Sosiot wameazisha uchunguzi wa kifo cha ajuza wa miaka sabini ambaye mwili yake alipatikana ndani ya mto Chepchirik katika Kijiji cha Kesagetiet eneo bunge la Belgut Kaunti ya Kericho .