11 Sep 2025 10:36 am | Citizen TV 717 views Duration: 1:51 Maafisa wa vitengo tofauti wakiwemo wa ujasusi kutoka migwani kaunti ya kitu na Nairobi , wamefukua mwili wa mzee mwenye umri wa miaka 70 kutoka thokoa, anayedaiwa kuuawa na mwanawe w kiume kisha akamzika.