Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa kisii Richard Onyoka ataka hospitali ya misheni ya nyanchwa ifunguliwe

  • | Citizen TV
    1,353 views
    Duration: 1:51
    Mwezi moja baada ya wizara ya afya kuzima mitambo ya Sha katika hospitali kuu ya Misheni ya Nyanchwa , Seneta wa Kisii Richard Onyonka sass anasema masaibu ya hospitali ya Nyanchwa yanatokana na mgogoro wa uongozi kati ya afisa mkuu aliyengatuliwa ofisini na bodi ya usimamizi ya hospitali na mrithi wake.