11 Sep 2025 10:56 am | Citizen TV 185 views Duration: 2:10 Serikali ya Kaunti ya Migori, kwa ushirikiano na Mradi wa Kitaifa wa Kukuza Thamani ya Kilimo (NAVCDP), inakuza uzalishaji katuika sekta ya kilimo kwa kusaidia shirika la wakulima kupitia ruzuku.