Skip to main content
Skip to main content

| Maskani | Miaka 3 ya Ruto : Jinamizi la ufisadi [Part 1]

  • | Citizen TV
    408 views
    Duration: 35:16
    Rais aliteua jopo la wataalamu 14 kushughulikia ufisadi EACC inasema ODPP imeondoa kesi 18 tangu mwaka wa 2013 Magavana 11 wa zamani wanachunguzwa na tume ya EACC Magavana 5 wa sasa wanachunguzwa kwa ufisadi EACC inamlaumu mkurugenzi wa mashtaka kwa kulemaza kesi