- 549 viewsDuration: 1:37Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ametoa onyo kali kwa wahudumu wa bodaboda wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu, akizungumza mjini Kisii kwenye jukwaa la usalama, murkomen ameahidi kukabiliana na makundi ya watu wachache wanaoharibia jina sekta hiyo muhimu ya uchukuzi nchini