12 Sep 2025 1:15 pm | Citizen TV 2,498 views Duration: 2:14 Ripoti ya upasuaji wa mwili wa mwanafunzi wa chuo kikuu Faith Kemunto aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa kule Nyamira, imethibitisha kwamba msichana huyo mwenye umri wa miaka 20 aliuliwa kwa kunyongwa.