Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya Royal Media Services yashirikiana na Raha Premium

  • | Citizen TV
    191 views
    Duration: 5:04
    Shamrashamra za Radio citizen Na Unga wa Raha premium zimetua mtaani kawangware jijini Nairobi. Watangazaji wa Radio citizen wakijumuika Na wanafunzi was Shule ya BJC ever Academy mtaani humo. Hi Leo chakula cha mchana kikiwa Ni kwa Hisani ya Raha premium watengenezaji wa Unga wa ngano wa Raha premium Na kavagara wa mahindi.