12 Sep 2025 1:46 pm | Citizen TV 4,226 views Duration: 2:13 Chama cha Orange Democratic Movement, ODM, kimekabidhi vyeti vya uteuzi kwa wagombea wake wa uchaguzi mdogo, baada ya mchakato wa maombi kukamilika.