12 Sep 2025 1:57 pm | Citizen TV 265 views Duration: 2:27 Wakazi kutoka Kijiji cha Kamailel katika Kata ya Mochongoi eneo mbunge ya Baringo Kusini wameandamana wakilalamamikia ubovu wa barabara kutokana na mvua kumbwa inayonyesha eneo hilo.