Skip to main content
Skip to main content

Ahmed Maalim Hassan atawania kiti cha Banisa kaunti ya Mandera

  • | Citizen TV
    1,401 views
    Duration: 2:18
    Huku ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Banisa kaunti ya Mandera kufanyika, wenyeji wengi wa eneo hilo wanampigia debe Ahmed Maalim Hassan kuwania kiti hicho.