Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wawakilishi wadi kutoka Kisii walisusia mkutano wa ikulu

  • | Citizen TV
    1,340 views
    Duration: 2:39
    Baadhi ya wawakilishi wadi kutoka Kisii waliosusia mkutano ulioandaliwa katika Ikulu ya Nairobi wanasema ulikuwa wa Kisiasa na kuwa watamuunga mkono aliyekuwa Waziri wa usalama wa Ndani Dr Fred Matiangi kwenye azma yake ya kuwania urais 2027.