- 3,566 viewsDuration: 3:30Rais William Ruto kwa Ushirikiano na Kiongozi wa ODM Raila Odinga wametoa wito wa umoja na ushirikiano baina ya Serikali za kaunti na serikali kuu ili kufanikisha Miradi Mbalimbali nchini. Viongozi hao walikuwa wakihutubia ujumbe maalum kutoka eneo la Gusii wakiongozwa na Gavana wa Kisii Simba Arati ambaye alimhakikishia Rais kuwa atafanya kazi naye licha ya eneo hilo kuwa na Mgombea wa kiti cha Urais mwaka 2027.