- 10,968 viewsDuration: 2:10Aliyekuwa Naibu rais rigathi gachagua amezidi kumkashifu Rais William Ruto na serikali yake, akitaja uongozi wake kama unaofuga ufisadi. Akizungumza katika kaunti za Kiambu, Muranga na Nyeri, Gachagua amesema kuwa eneo la mlima kenya halitampigia kura tena rais ruto akisema kuwa aliwacheza shere.