- 576 viewsDuration: 2:46Viongozi wa makanisa kutoka maeneo mbalimbali wametaja swala la ufisadi, changamoto katika sekta ya Afya na atiati katika sekta elimu kama baadhi ya masuala yanayotia doa uongozi wa Rais William Ruto, miaka mitatu baadaye.Viongozi hao wamemtaka Rais kuwajibikia changamoto zilizoko na kuimarisha maisha ya wakenya.