Skip to main content
Skip to main content

Sammy Kyengo apatikana amefariki uwanjani Talanta

  • | Citizen TV
    13,483 views
    Duration: 2:41
    Mwili wa mwanaume mmoja aliyeripotiwa kupotea jumamosi iliyopita katika Uwanja unaoendelea kujengwa wa Talanta katika eneo la Ngong umepatikana katika kidimbwi cha maji uwanjani humo. Mwili huo wa SAMMY KYENGO, mwenye miaka 35, ulipatikana ukielea kwenye kidimbwi hicho kilichokuwa kimefunikwa kwa mbao. Familia yake inataka majibu kuhusu kifo chake katika uwanja huo unaosimamiwa na jeshi