16 Sep 2025 7:06 pm | Citizen TV 9,627 views Duration: 1:46 Maafisa wa polisi Kaunti ya Bungoma wameanzisha uchunguzi wa tukio ambapo afisa wa upelelezi wa DCI aliwapiga watu risasi alipokuwa akitoa ushahidi mahakamani kuhusiana na kesi ambayo amekuwa akichunguza.