Skip to main content
Skip to main content

Faith alishinda dhahabu kwenye mbio za mita 1,500 huko Tokyo

  • | Citizen TV
    905 views
    Duration: 3:02
    Mkenya Faith Kipyegon aliendeleza ubabe wake wa riadha na kuipa Kenya dhahabu kwenye mbio za mita 1,500 baada ya kushinda ubingwa wake wa nne kwenye mashindano ya dunia jijini Tokyo, Japan. Kipyegon alimuongoza mkenya mwengine Dorcus Ewoi aliyemaliza wa pili na kufikisha medali za Kenya kuwa tano.