- 156 viewsDuration: 2:45Watoto katika shule ya chekechea ya Nyantaro eneo la Kitutu huenda wakakosa kwenda shuleni kutokana na mazingira mabaya shuleni humo. Mbali na kuwa wanafunzi hawa wanalazimika hata kusomea chini ya miti, mvua iliyonyesha eneo hilo imetatiza masomo yao.