- 13,883 viewsDuration: 3:29Maafisa wa polisi wanawazuilia washukiwa watano wenye asili ya sudan kuhusiana na kifo cha kutatanisha kwa mama mmoja aliyekuwa akiwafanyia kazi katika makazi yao mtaani kilimani nairobi. Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa Zaituni Kavaya, anayeripotiwa kuanguka kutoka orofa, alikuwa na majeraha mbalimbali kwenye mwili ambayo yanaambatana na kugongwa kwa nguvu kwa kutumia kifaa butu.