Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi kutoka Kibera waandamana kulalamikia mauaji

  • | Citizen TV
    14,363 views
    Duration: 7:04
    Wakaazi kutoka mtaaa wa kibera leo wamefanya maaandamano kupinga mauaji ya mama mmoja aliyeuawa katika nyumba ya watu waliokuwa wamemuajiri kwa muda kufanya kazi ya nyumbani. Wakaazi hao wenye gadhabu waliandamana kutoka kibera hadi mtaani kilimani ambapo mama huyo anadaiwa kudhulumiwa na kisha kuanguka kutoka gorofani na kufariki. Kufikia sasa maafisa wa polisi wanawazuilia washukiwa watano wenye asili ya sudan kuhusiana na kifo cha kutatanisha cha zaituni kavaya.