Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa Nandi Samson Cherargei aitaka serikali kuchunguza maafa ya ughaibuni

  • | Citizen TV
    726 views
    Duration: 1:46
    Seneta wa Nandi Samson Cherargei ametaka idara ya ujasusi DCI Na wizara ya mambo ya nchi za kigeni kufanya uchunguzi zaidi ya vifo tatanishi vilivyotokea katika mataifa za kigeni ili familia zipate haki kwa wapendwa wao.