Faith Odhiambo alichaguliwa kucha rais wa LSK jana

  • | Citizen TV
    634 views

    Rais Mteule wa chama cha mawakili nchini Faith Mony Odhiambo, amesema jukumu lake la kwanza katika siku 100 uongozini ni kuhakikisha kuwa sheria inazingatiwa na serikali kuu, mbali na kudhibiti ufisadi.