- 8,128 viewsDuration: 2:44Mashirika ya haki nchini sasa yanataka serikali ya Uganda kuwaachilia wakenya wawili wanaozuiliwa nchini humo. Shinikizo za mashirika haya zinafuatia tuhuma za kutekwa nyara kwa wanaharakati wa Kenya. Bob Njagi na Nicholas Oyoo walipohudhuria hafla ya kampeni ya mgombea urais wa Uganda Bobi Wine