Maandamano dhidi ya serikali Kenya

  • | BBC Swahili
    1,764 views
    Maandamano ya kuipinga serikali yametikisa miji mikubwa nchini Kenya, huku vijana waandamanaji wakieleza kutoridhishwa na serikali ya Kenya Kwanza. Polisi wa Kenya wamerusha mabomu ya kutoa machozi katika mji mkuu Nairobi kutawanya waandamanaji #bbcswahili #kenya #Maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw