Je, ajira za Afrika zinatishiwa na Akili Mnemba?

  • | BBC Swahili
    263 views
    Kwa baadhi ya watu, Akili Mnemba ni teknolojia ya kutisha ambayo inaweza kuwafanya wengi duniani kupoteza ajira siku zijazo. Lakini dhana hii ina ukweli wowote? Na je, Akili Mnemba inaweza kuisaidia Afrika kutatua matatizo yake, na kuwawezesha vijana kujikimu kimaisha? #bbcswahili #kenya #akilimnemba Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw